Habari

Kamat ya ujenzi ikiangalia na kukagua sehemu msingi ambako kumeshawekwa zege.

Alhamisi ( Desemba 20,2018) Kamati ya Ujenzi ilitembelea eneo linalojengwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuangalia kazi ya ujenzi wa msingi na usimikaji wa nguzo ulivyokuwa ukiendelea.... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 21, 2018

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali afungua kikao kazi kujadili Mpango Mkakati wa Ofisi

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewataka wadau wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoa maoni, ushauri na nini wanachokitarajia kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wanapojadili rasimu ya Mpango Mkakati Mpya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 13, 2018

WADAU WAJADILI RASIMU YA MPANGO MKAKATI WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Wadau kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali ambao wanafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wamekuwa na kikao kazi kujadili rasimu ya Mpango Mkakati Mpya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kikao kazi hicho imefunguliwa na Dkt. Evaristo Longopa, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 13, 2018

Uzinduzi wa Kamati ya Ukaguzi wa Ndani Ofisi ya Mwasheria Mkuu wa Serikali

Tarehe 12/12/2018 Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Evaristo Longopa alizindua Kamati ya Ukaguzi wa Ndani katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 12, 2018

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapata mafunzo ya mfumo wa OPRAS

Kwa siku tatu watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali walipata mafunzo ya kuwajengea uwezo na ufahamu kuhusu mfumo wa upimaji na tathmini ya utendaji kazi ( OPRAS)... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 29, 2018

Serikali kuanzisha Chama cha Wanasheria katika utumishi wa Umma

Imeelezwa kwamba , Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kwa mujibu mamlaka ya kisheria aliyonayo, anakusudia kuanzisha Chama cha Wanasheria walio katika utumishi wa umma... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 19, 2018