Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi ( Mb) akijibu na kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali za Waheshimiwa Wabunge wakati wa hitimisho la wasilisho la Bajeti la Wizara ya Katiba na Sheria. Bajeti hiyo ya takribani Bn 383,619,711,000.00 ni kwaajili ya Wizara na Taasisi zake na iliwasilisha na Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria